Tetea Mazingira, ni podcast Kuhusu usimamizi wa maliasili. Tetea Mazingira ina andaliwa na mupasha habari Daniel Makasi kutoka mujini Goma, Inchini DRC.Lengo ya Tetea Mazingira ni kuletea watu habari kamili kuhusu maliasili na kushirikisha wataalamu kwa mazungumuzo.#TeteaMazingira
BANGI NAYO NI MBOLEO_POLISI MUSI ILUNGUZE ISI ARIBU MAZINGIRA, MAELEZO YAKE PHILIPPE AKSANTI NDANI YA KIPINDI ENVIRONNEMENT NOTRE VIE KWENYE RADIO TAYNA
Liens pour écouter le #podcast #TeteaMazingira sur la #Gouvernance …
Angalisho - Apana kuchoma bangi - mutatuma tuna vuta ile moshi na hatupendi vuta ! Maoni yake Fiston Muhingo kwenye kipindi Environnement Notre Vie kunako Radio Tayna mujini Goma mashariki mwa inchi ya Kongo.
Lienspour …
Mti ni mtu, Mtu ni mti - Mafasiriyo ya mutaalamu wa mazingira Master Philippe Aksanti kutoka kikundi Ajanac/Goma mashariki mwa inchi ya Kongo
KIPINDI HIKI KIMETANGAZWA KWENYE RADIO TAYNA KWA TAREHE 30 APRIL 2018 KUPITIYA …
Kama ulishaka kula kihembe, sikiliza maelezo yake Thadhée Katshuva ndani ya kipindi Environnement notre vie kwa tarehe 1 dec 2017 kwenye Radio Tayna …
Muji wa Goma ume kuwa kwenye hatari ya kuvamiwa na uchafu - Tetea Mazingira Swahili Podcast pamoja naye Fiston Muhindo kwenye Radio Tayna ndani ya kipindi Environnement notre Vie
Liens pour écouter le #podcast …
Sikiliza habari kuhusu mulimo ya buyoga naye Ir Faustin Mupira kwenye Tetea Mazingira Podcast swahili. Yeye ana eleza ni vipi kuendesha hiyo mulimo …
utangulizi wa podcasting
Are you the creator of this podcast?
and pick the featured episodes for your show.
Connect with listeners
Podcasters use the RadioPublic listener relationship platform to build lasting connections with fans
Yes, let's begin connectingFind new listeners
Understand your audience
Engage your fanbase
Make money