Mjasiriamali Wa Mtandao

38 EpisodesProduced by Said Said

Karibu katika Podcast ya Mjasiriamali wa Mtandao, sehemu ambapo utajifunza jinsi Ya kutumia mtandao wa internet kujenga na kukuza biashara yako

episodes iconAll Episodes

37: Jinsi ya Kuanzisha Biashara Bila ya Kuwa na Mtaji

July 16th, 2019

25:10

Je wewe unataka kuwa mjasiriamali lakini huna mtaji wa kuanzisha biashara? Basi podcast hii itakuongoza...

37: Umuhimu wa Kufeli Katika Maisha Yako | Saturday Rant

July 13th, 2019

15:13

Je umefeli katika jambo fulani hivi karibuni? Safi sana. Mafanikio yanakaribia kama utafanya yafuatayo...

36: Kwanini Huna Raha na Unahangaika| Saturday Rant

July 6th, 2019

19:08

Kama huna raha na unahangaika kuona mafanikio katika maisha basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha kwanini.

35: Kwanini Motivation ni Kitu Kibaya

July 6th, 2019

20:38

Kama wewe ni mtu unayetegemea motivation kuchukua hatua basi usitegemee kuona mafanikio. Sikiliza kufahamu kwanini

34: Umuhimu wa Mahesabu Katika Mafanikio ya Biashara Yako

June 11th, 2019

24:08

Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na unaona biashara yako haikuwi vizuri basi kuna uwezekano mkubwa Mahesabu yako hayapo vizuri. katika sehemu hii utajifunza jinsi ya kutumia mahesabu kuchagua biashara yenye …

33: Kwanini Unachelewa Kuona Mafanikio | Makavu LIVE!

May 11th, 2019

17:18

Kama unafanya biashara na biashara yako imegonga mwamba na hujui ufanye nini kusonga mbele basi Makavu live ya leo ni kwa ajili yako...

31: Mambo 3 Yanayokuzuia Wewe Kutimiza Malengo Yako | Saturday Rant

April 20th, 2019

19:00

Kama umejikuta kuwa unahangaika mno kufikia malengo yako hata ukifanya kitu gani basi sehemu hii ya podcast inakuhusu. Ndani ya Saturday Rant ya leo tunazungumzia mambo 3 Yanayokuzuia Kufikia Malengo yako. Bila ya …

30: Jinsi Ya Kujenga Nidhamu ya Kupata Mafanikio Kiurahisi

April 16th, 2019

24:34

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi kuna uwezekano mkubwa kuwa hujajenga nidhamu ya kupata mafanikio. Ndani ya sehemu hii utajifunza kwanini kumiliki nidhamu itakusababishia wewe kupata …

29: Kwanini Upo Busy Sana na Huoni Mafanikio

April 6th, 2019

31:06

Je wewe ni aina ya mtu uliyokuwa busy bila ya kuona matunda ya ubize wako? Hii Podcast inakuhusu

28: Sifa 3 Za Tovuti Zenye Kunasa Wateja

April 2nd, 2019

36:23

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye nia ya kumiliki tovuti yenye kunasa wateja basi sehemu hii ya podcast inakuhusu...

27: Kwanini Kipato Chako Hakikuwi | Saturday Rant

March 30th, 2019

28:52

Kama kipato chako kimefikia sehemu na hakikuwi basi una tatizo hili la kisaikolojia...

26: 80/20 Rule

March 26th, 2019

34:47

Kama wewe ni mtu unayejikuta unafanya kazi kama punda bila ya kuona matunda basi formula ya 80/20 Rule itakusaidia kwa kiasi kikubwa. Formula hii …

25: Kwanini Biashara Yako Hailipi | Saturday Rant

March 23rd, 2019

22:49

Kama unafanya biashara lakini kila unavyojikaza unaona biashara haizongi mbele basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha exactly tatizo ni nini. Kuna kipimo kiitwacho VRIN Score unayotakiwa kunitumia kufahamu kama …

24: Jambo la Msingi la Kufanya Kufikia Malengo Yako

March 19th, 2019

24:00

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi sehemu hii ya podcast inakuhusu. Ndani ya podcast hii utajifunza kwanini formula …

23: Saikolojia ya Pesa | Saturday Rant

March 9th, 2019

31:21

Kama unajikuta unahangaika kwa kiasi kikubwa kupata pesa basi kuna uwezekano mkubwa unasumbuliwa na saikolojia ya pesa. Ndani ya sehemu hii …

22: Mambo 3 ya Msingi ya Kuzingatia Kujenga Biashara ya Uhakika Kwenye Mtandao wa Internet

March 5th, 2019

27:25

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako kupitia mtandao wa internet basi sehemu ya podcast hii inakuhusu. Ndani ya sehemu hii tunazungumzia mambo 3 ya msingi ya kuzingatia kuweza kujenga biashara ya …

21: Falsafa ya Uhakika ya Kupata Mafanikio | Saturday Rant

February 23rd, 2019

22:02

Kama unahangaika sana kuona mafanikio basi falsafa ya "Detachment" itakusaidia kwa kiasi kikubwa.

20: Jinsi Pius Justus Alivyotumia Mtandao wa Facebook Kuingiza Kipato Cha Milioni 7 Ndani ya Miezi 4

February 19th, 2019

1:01:41

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook basi podcast hii inakuhusu. Pius Justus alihangaika zaidi ya miaka 2 kufanya mauzo kwenye mtandao wa Facebook hadi alipokuja kugundua …

19: Sababu Kubwa Kwanini Unahangaika Kutimiza Malengo Yako

February 12th, 2019

22:24

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kutimiza yako basi kuna jambo moja kubwa la msingi hujafahamu. Katika sehemu hii utapata kujifunza hilo jambo na jinsi ya kuweza kutimiza malengo yako

18: Mambo 4 ya Kuzingatia Kabla ya Kufanya Matangazo Katika Mtandao wa Facebook na Instagram

February 5th, 2019

23:03

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja kiurahisi kwenye mtandao wa Facebook na Instagram kupitia matangazo yako basi ukizangatia yafuatayo utaona mafanikio makubwa mno.

17: Jinsi Ya Kutumia Mtandao wa Internet Kuuza Bidhaa Kiurahisi

January 29th, 2019

20:27

Kama upo katika biashara ya kuuza bidhaa (commodity) na unahangaika kufanya hivyo kwenye mtandao basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha namna ya kufanya hivyo.

16: Jinsi Ya Kutumia Formula ya AIDA Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

January 22nd, 2019

26:13

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako …

15: Mambo 4 ya Kuzingatia Kuhakikisha Unatimiza Malengo Yako Mwaka Huu

January 7th, 2019

20:48

Kama wewe unakutana na changamoto ya kutotimiza malengo yako kila mwaka bila ya kujua sababu ni nini basi sehemu ya leo itakuongoza kwa kiasi kikubwa kuweza kutimiza malengo mwaka huu.

14: Hatua 12 za Kufuata Kuweza Kuuza Kiurahisi Kwenye Mtandao wa Internet

January 3rd, 2019

56:04

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kuuza bidhaa/huduma kiurahisi kwenye mtandao wa Internet, basi utapenda podcast hii ya leo. Ukianza kutumia hatua hizi 12 katika uuzaji wako, si kuwa utapata wateja kiurahisi …

13: Jinsi ya Kupata Mafanikio Kwenye Biashara yako Kupitia mtandao wa internet mwaka 2019

January 2nd, 2019

59:03

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye nia ya kupata mafanikio makubwa mwaka 2019 basi podcast hii ni kwa ajili yako. Ndani ya podcast hii nimezungumzia …

12: Jinsi Ya Kufanya Mauzo Kiurahisi Katika App ya WhatsApp

December 12th, 2018

15:58

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kufanya mauzo kiurahisi kwenye app ya WhatsApp basi baada ya kusikiliza sehemu hii ya podcast utaanza kuona mabadiliko makubwa katika biashara yako.

11: Jinsi Ya Kutumia Mtandao wa Internet Kunasa Wateja

November 28th, 2018

35:43

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja Kiurahisi kwenye biashara kupitia mtandao basi kuna mengi utajifunza katika podcast hii. Haya ni mahojiano niliyofanya na DFM Radio katika kipindi cha D …

10: Blue Ocean Strategy

November 14th, 2018

26:41

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kwenye biashara yako kutokana na ushindani mkubwa katika soko basi katika sehemu hii utajifunza jinsi ya kutumia Blue Ocean Strategy kuuwa ushindani na kunasa wateja

9: Jambo 1 Wanafunzi Wangu Wote Wenye Mafanikio Wanafanya

November 7th, 2018

18:37

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kupata wateja kiurahisi kwenye mtandao basi ukifanya hivi utaona mabadiliko makubwa katika biashara yako.

8: Jinsi Tatu Omari Alivyokuza Kipato Chake Kutoka Laki 3 Hadi Milioni 6 Kupitia Facebook

October 31st, 2018

1:03:29

Kama umekuwa ukihangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook basi interview hii itakupa mwanga jinsi mwanafunzi wangu Tatu Omari alivyoweza kutumia mtandao huo kukuza kipato chake kutoka Tshs. 300,000 hadi Tshs. …

7: Hatua 6 za Kufuata Kujenga Biashara ya Uhakika Kwenye Mtandao

October 24th, 2018

55:11

Kama una hamu ya kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wenye kuingizia kipato endelevu kila siku basi sehemu hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa kufanya hivyo.

6: Jinsi Masoud Alivyotengeneza Faida ya Millioni 3 Ndani ya Mwezi 1 Kupitia Mtandao wa WhatsApp

October 9th, 2018

55:54

Kuna formula ya rahisi lakini yenye nguvu ya Ku kuifanyia mauzo mengi WhatsApp kuliko formula yoyote ile. Na Masoud alivyoanza Kutumia formula hii …

5: Aina ya Mjasiriamali Mwenye Kunasa Wateja

September 21st, 2018

7:13

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja Kiurahisi kwenye biashara yako na hujui ufanye nini, basi sehemu hii utagundua SIRI ya wajasariamali wenye kunasa wateja.

4: Jinsi Ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao wa Internet

September 8th, 2018

32:23

Kama wewe ni Network Marketer na unahangaika Kupata wateja kupitia mtandao wa internet basi somo la leo linakuhusu

3: Jinsi Ya Kutumia Mitandao ya Kijamii Kunasa Wateja

September 6th, 2018

16:58

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika Kupata wateja kupitia mitandao ya kijamii basi ukifanya yafuatayo utafaidika mno.

2: Jinsi Ya Kupata Wateja Wengi Kwenye Mtandao Kwa Hatua 3

August 28th, 2018

24:52

Jinsi Ya Kupata Wateja Wengi Kwenye Mtandao Kwa Hatua 3

Loading ...

Download the RadioPublic app for
 FREE and never miss an episode.

Get it on Google PlayDownload on the App Store